Ratiba ya Mechi za Mei 2026 kwa Simba SC
Ratiba ya Mechi za Mei 2026 kwa Simba SC, NKariakoo Derby Dhidi ya Yanga SC Kuongoza Mvutano. Klabu ya Simba SC imetoa ratiba rasmi ya mechi zake za mwezi Mei…
Kariakoo Derby Yamalizika Sare ya 2-2, Simba na Yanga Wagawana Pointi
Kariakoo Derby Yamalizika Sare ya 2-2, Simba na Yanga Wagawana Pointi. Pengo Labaki Alama 5. Mchezo wa Kariakoo Derby uliochezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Stadium umemalizika kwa sare…
Elvis Rupia Aondoka Singida Black Stars, Kuzikosa Mechi Zilizobaki Msimu Huu
Elvis Rupia Aondoka Singida Black Stars, Kuzikosa Mechi Zilizobaki Msimu Huu. Mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya, Elvis Rupia, ameripotiwa kuondoka ndani ya kikosi cha Singida Black Stars kufuatia kutofikia mwafaka…
Simba Yamnasa Nathaniel Chilambo Kwa Mkataba wa Awali
Simba Yamnasa Nathaniel Chilambo Kwa Mkataba wa Awali, Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano ya awali na beki wa kulia Nathaniel Chilambo kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo katika…
Anicet Oura Arejea Kabla ya Kariakoo Derby Dhidi ya Yanga
Anicet Oura Arejea Kabla ya Kariakoo Derby Dhidi ya Yanga, Klabu ya Simba SC imepata habari njema kuelekea Kariakoo Derby, baada ya winga wake Anicet Oura kuthibitishwa kuwa fiti na…
Rekodi ya Kariakoo Derby Yanga Yaitawala Simba, Mechi Tano za Mwisho Ligi Kuu NBC
Rekodi ya Kariakoo Derby Yanga Yaitawala Simba, Mechi Tano za Mwisho Ligi Kuu NBC. Katika soka la Tanzania, Kariakoo Derby kati ya Yanga SC na Simba SC imeendelea kuwa kivutio…
Viingilio Mechi ya Simba SC vs Yanga SC 03 Mei 2026
Viingilio Mechi ya Simba SC vs Yanga SC 03 Mei 2026, Mchezo mkubwa wa watani wa jadi kati ya Simba SC na Yanga SC unatarajiwa kuchezwa tarehe 03 Mei 2026,…
Wachezaji 10 bora wa Afrika Wanaolipwa Zaidi 2026
Wachezaji 10 bora wa Afrika Wanaolipwa Zaidi 2026, Katika ulimwengu wa kisasa wa mpira wa miguu, mafanikio ya mchezaji hayapimwi tu kwa uwezo wake uwanjani, bali pia kwa thamani yake…
Kariakoo Derby Kuhamishiwa Mbweni Badala ya Benjamin Mkapa – Mei 3, 2026
Kariakoo Derby Kuhamishiwa Mbweni Badala ya Benjamin Mkapa – Mei 3, 2026. Mchezo mkubwa wa soka nchini Tanzania unaojulikana kama Kariakoo Derby, unaozikutanisha timu za Simba SC na Young Africans…
Simba Yashuka Viwango CAF Ranking 2026, Yanga Yapanda
Simba Yashuka Viwango CAF Ranking 2026, Yanga Yapanda. Klabu ya Simba Sports Club imeshuka katika viwango vya ubora wa vilabu barani Afrika vilivyotolewa na Confederation of African Football, kufuatia matokeo…